Menu ›
Burudani
Thu, 27 Jul 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Siku moja baada ya kuachia wimbo wenye mashairi yaliyowakosoa viongozi wa Serikali, leo amekiri kuitwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kutokana na wimbo huo.
Kupitia mitandao yake ya kijamii, Nay ameweka ujumbe huo wa wito wa Basata na kusema mwanasheria wake atawasiliana nao.
"Nimepokea Barua Ya Wito Leo Asubuhi Kutoka baraza La Sanaa Tanzania #Basata Ikiniitaji Kufika Ofisi Za Basata Leo Saa Nne Asubuhi. Isue Ni Wimbo Wangu Wa #Amkeni Nimeshindwa Kufika Leo Coz Nipo Safarini, Mwanasheria Wangu Ameshafanya Mawasiliano Nao Kuomba Siku Nyingine. #Amkeni Link On Bio"
Chanzo: www.tanzaniaweb.live