Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

K2ga: Niliambiwa Alikiba ana roho mbaya

K2ga: Niliambiwa Alikiba Ana Roho Mbaya K2ga: Niliambiwa Alikiba ana roho mbaya

Mon, 4 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki @k2ga_tz kutoka #KingsMusic amefunguka kuwa wakati anaimba mtaani na sauti yake kufananishwa na @officialalikiba watu walikuwa wanamwambia kuwa #Alikiba ana roho mbaya akimsikia atamzingua sana . K2ga anasema kuwa hali ilikuwa tofauti kwasababu alivyokutana na Alikiba alivutiwa sana na uimbaji wake mpaka kuamua kumsaini kwenye lebo yake .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live