Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Jux msanii msafi kuliko wote Tanzania" - Soggy

Skongaz Jux

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Soggy Doggy Anter amemtaja msanii Jux kuwa ndio msanii msafi kuliko wote nchini Tanzania.

Soggy Doggy amesema Jux ni msanii msafi baada ya kukaa naye kwa siku nne mpaka tano na kugudundua msanii huyo anapenda kuoga kila wakati na kunukia.

"Mimi hata ukinimsha usiku ukaniuliza msanii gani ni msafi kuliko wote nitakuambia ni Jux," alisema Soggy.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live