Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jux kumsomesha mtoto wa Shilole, Vee atoa Honey Moon (Video)

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Kila msanii aliyehudhuria harusi ya Shilole na Uchebe alitoa zawadi ya aina yake kwa wawili hao, Jux alisema yeye anachofanya kama zawadi kwa Shilole ni kumsomesha mtoto wake moja kwa kipindi cha mwaka mmoja ambapo pia mpenzi wake Vee Money alisema atamlipia muimbaji huyo kulala katika hotel ya nyota tano ya Kilimanjaro.

Chanzo: bongo5.com