Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jux afungua duka la pili jingine Kariakoo

Jux Jumaz Jux afungua duka la pili jingine Kariakoo

Fri, 19 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

African Boy, mwimbaji, Jux ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake "Nice (Kiss)" amefungua duka lake la pili la nguo za 'brand' yake African Boy maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Akiongea kwenye Instagram Live jana Alhamisi, amesema duka hilo limekamilika kwa asilimia kubwa na hivi karibuni atafanya uzinduzi.

Jux ambaye ni mbobezi wa biashara ya mavazi nchini, duka lake lingine kubwa la bidhaa zake lipo maeneo ya Sinza Afrika Sana jijini Dar es Salaam, na alifungua duka hilo mwezi Disemba mwaka jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live