Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jux aanika mazito kuhusu changamoto za mapenzi

Juma Jux Kareen Bujulu  1691918116 Jux aanika mazito kuhusu changamoto za mapenzi

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

The African Boy Juma Jux akishea nasi Experience yake fupi kuhusu mapenzi kupitia wimbo wake mpya wa ‘Bado’ anaotarajia kuuchia usiku wa leo.

“Kuna namna mapenzi yanakupitisha kwenye experience flani hivi, hadi ukasema hiki nini? Ila usiruhusu yakubadili tabia, kosa la aliyepita isiwe sababu ya kumtesa anayekuja. I still believe in love.”

Hawa wapenzi watano ambao wamewahi kudate na Jux ambao ni Jack Cliff, Jackline Wolper, Vanessa Mdee, Karen Bujulu na Huddah Bosschick.

Mapenzi yaliwahi kukubadilisha tabia gani?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live