Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jux: Mshua alikuwa akimiliki ndinga kali

Juxxx (18).jpeg Juma Jux

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya mambo unayoona kwa Jux kama kununua magari mazuri na kupendeza, ni miongoni mwa mambo ambayo amerithi kutoka kwa marehemu Baba yake.

Baadhi ya mambo unayoona kwa Jux kama kununua magari mazuri na kupendeza, ni miongoni mwa mambo ambayo amerithi kutoka kwa marehemu Baba yake. "Mzee wangu alikuwa msafi sana, anajipenda, anaendesha mipira mikali (magari mazuri) nini, kule Lumumba alikuwa anaingiza magari makali anauza," amesema Jux.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live