Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jux, Dimpoz ni bifu zito

Kareen Dimpoz Jux Jux, Dimpoz ni bifu zito

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka kwenye kiwanda cha burudani zinaarifu kuwa, limeibuka bifu zito kati ya nyota wawili wa Bongo Fleva, Juma Jux na Ommy Dimpoz huku chanzo kikitajwa kuwa ni mrembo Karen Bujulu.

Akipiga story na Lily Ommy Podcast, Jux ameweka wazi kuwa wameachana na aliekuwa mpenzi wake Karen Bujulu raia wa Rwanda huku chanzo kikidaiwa kuwa ni baada ya Ommy Dimpoz kumsafirisha Kareen wenda nae Dubai na kukaa huko takribani mwezi mzima.

Jux aliingia kwenye mahusiano na Kareen baada ya kumwagana na Vanessa Mdee ambaye kwa sasa anaishi Marekani na mpenzi wake, Rotimi ambaye wamefanikiwa kuzaa watoto wawili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live