Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Justine Bieber kuuza hatimiliki za muziki wake kwa zaidi ya Bilioni 466

Justine Bieber 466 Mwanamuziki Justin Bieber

Thu, 22 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Justin Bieber ameripotiwa kuwa yupo mbioni kuuza haki za nyimbo zake zote kwa kiasi cha ($200 million) ambayo ni zaidi ya TSh. Bilioni 466

Mwanamuziki Justin Bieber ameripotiwa kuwa yupo mbioni kuuza haki za nyimbo zake zote kwa kiasi cha ($200 million) ambayo ni zaidi ya TSh. Bilioni 466 Kama dili hilo litafanikiwa Bieber atakuwa ameungana na manguli kama Bruce Springsteen, Bob Dylan, na Stevie Nicks kuuza hatimiliki ya kazi zao za Muziki miaka ya hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live