Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Justin Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto wao wa kwanza

Justin And Hailey Ea714e0bbc2c4bcabaddd517f87b0eb5 Justin Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto wao wa kwanza

Fri, 10 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Justin Bieber na mkewe mwanamitindo Hailey kupitia kurasa zao za Instagram wametangaza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza.

Mwakilishi wa Hailey alithibitisha kuwa mwanamitindo huyo ana ujauzito wa zaidi ya miezi sita, kulingana na CBS News.

Justin mara nyingi kupitia mitandao ya kijamii amekuwa akiongelea hamu yake ya kupata watoto na Hailey.

Wawili hao walifunga ndoa ya siri huko New York mwaka 2018.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live