Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Justin Bieber ampotezea Usher Raymond

Justin Bieber Ampotezea Usher Raymond Justin Bieber ampotezea Usher Raymond

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku moja kabla ya Staa Usher Raymond kwenda kuandika historia kwenye Super Bowl Halft Show aliripotiwa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Justin Bieber ili ajumuike naye kwenye show hiyo.

Siku moja kabla ya Staa Usher Raymond kwenda kuandika historia kwenye Super Bowl Halft Show aliripotiwa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Justin Bieber ili ajumuike naye kwenye show hiyo. Kwa mujibu wa Page Six, Justin Bieber alitupilia mbali ombi hilo huku wakidai kuwa wawili hao hawana ugomvi wowote bali Bieber hakuwa na maandalizi mazuri tu ya onesho hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live