Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Juma Nature kurudi na ngoma 3 zilizoandaliwa Ttouch Sound, Mj Record na Bongo Record (Audio)

Video Archive
Thu, 10 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki, Juma Nature baada ya kushindwa kufanya vizuri kwa muda mrefu, amejipanga upya kuachia nyimbo zake tatu mfululizo zilizoandaliwa na studio tatu tofauti akiwemo, Ttouch Sound, Mj Record pamoja Bongo Record. Akiongea na Bongo5 Jumatano hii meneja wa muimbaji huyo, Rich One amedai kwa maadalizi waliyoyafanya bila shaka kila kitu mkongwe huyo atarudi kwenye chati.

Loading...
Chanzo: bongo5.com