Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jukwaa lavunja Show ya Jose Chameleone Uganda

Jose Chameleone Jose Jukwaa lavunja Show ya Jose Chameleone Uganda

Fri, 10 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tamasha la Jose Chameleone alilolipa jina la "Gwanga Mujje" lililokuwa lifanyike leo kwenye viwanja vya Lugogo Cricket huko Kampala,Uganda limeahirishwa baada ya jukwaa kuanguka kutokana mvua kubwa kunyesha.

Tamasha la Jose Chameleone alilolipa jina la "Gwanga Mujje" lililokuwa lifanyike leo kwenye viwanja vya Lugogo Cricket huko Kampala,Uganda limeahirishwa baada ya jukwaa kuanguka kutokana mvua kubwa kunyesha. Chameleone alitumia miezi kadhaa kulitangaza Tamasha hilo lililokuwa likisubiriwa kwa hamu nchini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live