Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joyce Kiria, Martin Kadinda wanogesha usiku wa Valentines Party na Lady Jaydee (+Video)

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwanamuziki Lady Jaydee amewakosha villivyo mashabiki wake wakiwemo Mwanaharakati Joyce Kiria na  Mwanamitindo Martin Kadinda pale alipokuwa akitumbuiza katika show yake ya ‘Valentines Party na Lady Jaydee’ ambayo imefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili Serena Hotel Dar es Salaam.

Kitu cha kushangaza pia kwa Joyce Kiria hakuambatana na mumewe, Henry Kilewo ambaye wiki kadhaa zilizopita alimtuhumu kumnyanyasa kijinsia.

Soma zaidi kuhusu tuhuma hizo bonyeza HAPA na kisha tazama video hapa chini kumuona yeye na Martin Kadinda wakisakata rumba.

 

 

Chanzo: bongo5.com