Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joti alivyomfuta jasho Alikiba mbele ya Waziri Mkuu

Alikibaaaaa Joti alivyomfuta jasho Alikiba mbele ya Waziri Mkuu

Fri, 12 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia jana kwenye Harambee ya kuzichangia timu za Taifa, supaa wa Bongofleva, Alikiba alikuwa miongoni mwa wasanii waliohudhuria.

Yeye na lebo yake walichangia milioni 20 na baafa ya japo alifanikiwa kutumbuiza wimbo wa UTU mbele ya Waziri Mkuu.

Wakati anatumbuiza aliomba watu wajitokeze kuchangia na mmoja wao alimtaja Baba Levo, lakini pia mchekeshaji Joti alienda mbele na akamfuta jasho kwa kitambaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live