Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joti, Mkojani watifuata

MKOJANII33 660x400 Joti, Mkojani watifuata

Sun, 17 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasanii mahiri wa filamu za vikesho hapa nchini, Mkojani na Joti usiku wa kuamkia leo walitifuana vikali kwenye tamasha la Tuzo za Filamu 2023 lililofanyika The Super Dome Masaki, Dar.

Mara kadhaa wasanii hao walitajwa kuwania kipengele kimoja upande wa filamu za vichekesho ambapo awali walipotajwa wasanii hao macho ya wengi yalikuwa yakisikiliza tuzo hiyo ilikuwa ikienda kwa staa yupi kati yao.

Hata hivyo mwisho wa siku Mkojani aliibuka na tuzo mbili huku Joti akiibuka na tuzo moja ambapo wasanii hao kipenzi cha mashabiki yalisikika mayowe ya aina yale kila walipotajwa kwenda kuchukua tuzo. 

Tamasha hilo limeandaliwa na Wizara ya Sanaa na Utamaduni na Michezo kupitia Bodi ya Filamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live