Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joslin: Barnaba aje tuyajenge

JOSLIN NA BARNABA Joslin: Barnaba aje tuyajenge

Thu, 25 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa miundo ya RnB, Joslin amemtaka msanii wa kizazi kipya Barnaba kumtafuta ili kuongelea suala la msanii huyo tuimba nyimbo yake ya "Niite Basi" kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki.

Kupitia kipindi cha Big Sunday Live, Joslin amesema kuwa amesikia Barnaba akiimba nyimbo yake, hakuichukulia vibaya ila aliandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuomba waonane na kuongea, kitendo kilichopokelewa tofauti zaidi na mashabiki.

"Siku sema hivyo kwa ubaya, wengi waliichukulia serious. Sio mara ya kwanza kuona hivyo," alisema Joslin.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live