Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jokate afanyiwa baby shower pambe hatari!

Jokate Baby Shower Jokate afanyiwa baby shower pambe hatari!

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Wwilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amefanyiwa sherehe fupi ya zawadi kabla ya kujifungua (baby shower) nyumbani kwake Temeke jijini Dar.

Video iliyovuja kwenye mitandao ya kijamii, imemuonesha Jokate ambaye alikuwa mwanamitindo kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, akicheza nyimbo mbalimbali na warembo kadhaa waliopata fursa ya kujumuika naye nyumbani kwake.

Jokate ambaye aneonekana 'amechoka' alicheza muziki wa Kwikwi wa Zuchu pamoja na nyimbo nyingine huku pia zawadi zikionekana kutaradadi nyumbani hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live