Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

John afunguka kumfumania mpenzi wake Danza

John Stams.jpeg John afunguka kumfumania mpenzi wake Danza

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka nchini Marekani, John Stamos anadai kuwa aliwahi kumfumania mpenzi wake TeriCopley na muigizaji mwenzie Tony Danza.

John anadai kuwa mwaka 1980 aliwakuta wawili hao wakiwa pamoja baada ya kwenda nyumbani kwa mpenzi wake kwa siri, hata hivyo undani wa usaliti huo ameueleza kwa kina katika riwaya yake ya ‘If You Would have Told Me’ inayo tarajiwa kutoka Oktoba 24 mwaka huu.

Msanii huyo mwenye umri wa miaka 60 alionekana katika tamthilia mbali mbali ikiwemo ya ‘NBC ER’ ya mwaka 2009, ‘Fox sitcom Grandfathered’ na nyinginezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live