Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Johari: Sijawahi kuwa na mahusiano na Ray

Johari Na Ray Johari: Sijawahi kuwa na mahusiano na Ray

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa Filamu nchini Johari Changula amedai kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya Kimapenzi na Wasanii Ray the Greatest na Marehemu Steven Kanumba.

Akijibu kwa kigugumizi kuhusu kutoka kimapenzi na mmoja yao au wote wawili akiwa kwenye kipindi cha #Sentro cha #CloudsTv.

"Sijawahi kuwa na Mahusiano nao lakini si unajua tena unapoigiza, Kwanza mahusiano gani kwa sababu wote nilikuwa na mahusiano nao," amesema Johari.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live