Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joh Makini awachana wachambuzi 'wanajifanya hawausikii muziki mzito'

Joh Makini Joh Makini awachana wachambuzi 'wanajifanya hawausikii muziki mzito'

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati discussions zikiendelea kuwa nzito kwenye kiwanda cha muziki wa Tanzania kuhusu taking over ya muziki aina ya Amapiano kwenye game ya Bongo Flavour, kuna room ambayo Mwamba wa Kaskazini @johmakinitz amejipata na ana-make sense kinoma kupitia wimbo wake wa Bobea.

Ikiwa ni siku chache tu zimepita tangu wimbo wa Bobea utajwe na moja kati ya charts kubwa za muziki barani Africa ‘African Music Promotion’ kama moja kati ya ngoma 10 kali na kubwa barani Africa kwa hivi sasa, @johmakinitz amedondosha neno kwa wachambuzi wa muziki wanaojifanya hawausikii ukali wa ngoma hiyo, na hawaoni tobo inavyotoboa nje ya mipaka ya Tanzania.

“Naona hata mnaojifanya wachambuzi wa muziki mnazungukazunguka tu kujifanya hamjausikia huu muziki mzito kupata kutokea nchini haya sasa #BOBEA hiyoo imewafikia wanaoupenda na kuujua muziki luv ya kutosha kutoka +254 ???????? Kenya @namelesskenya & @wahukagwi” -Ameandika hayo @johmakinitz akiambatanisha na video clip ya Wapenzi @wahukagwi na @namelesskenya ambao wamebobea penzini kutoka +254 ????????

Mtazamo wako ni upi!? Unadhani Bobea haipewi heshima yake au kuna namna @johmakinitz anatupangia cha kufanya!? Drop your comment • #CloudsDigitalUpdates Edited · 1h

Chanzo: www.tanzaniaweb.live