Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joh Makini: Hakuna kiki ya kunistua Bongo

Joh Makini Joh Makini

Wed, 8 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa maarufu Bongo wengi humuita Mwamba wa Kaskazini 'Joh Makini' amesema hakuna kiki wala drama yoyote ya msanii ambayo imewahi kumshangaza au kumshtua tangu waanze kufanya matukio yao.

Joh amesema; “Hakuna drama wala kiki yoyote ambayo imewahi kufanywa na wasanii wa Bongo ikanishtua au ikanifanya nikaiamini, wanajua ni kwa sababu gani wanafanya hata watu wengine unakutana nao wakati wanapanga hiyo mipango kabla ya kwenda public.

“Binafsi najua ni kutengeneza attention ili watu wasikilize miziki yao lakini sijawahi kushtushwa na kiki wala drama yoyote ya msanii yeyote hapa Bongo,” ameongeza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live