Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jinsia ya mtoto wa Paula na Marioo yafahamika

Jinsia Ya Mtoto Wa Paula Na Marioo Yafahamika Jinsia ya mtoto wa Paula na Marioo yafahamika

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wanatarajia kupatapa mtoto wa kike. Jinsia ya mtoto huyo imewekwa wazi kwanye ufichuzi wa jinsia uliofanyika leo April 17

Mwanamuziki Marioo na mpenzi wake Paula Kajala wanatarajia kupatapa mtoto wa kike. Jinsia ya mtoto huyo imewekwa wazi kwanye ufichuzi wa jinsia uliofanyika leo April 17 Hata hivyo wawili hao waliweka wazi kutarajia mtoto siku tano zilizopikta katika kurasa zao za mitandao ya kijamii kwa kuchapisha video ikiambatana na ujumbe uliokuwa ukieleza kuwa wanatarajia kuongeza mwanafamilia mpya hivi karibuni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live