Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jinsia ya mtoto wa Khloe Kardashian na Tristan Thompson yatajwa

4247 K TZW

Fri, 9 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Baada ya ndugu zake Kim Kardashina na Kylie Jenner kupata watoto wiki kadha zilizopita, hatimaye Khloe Kardashian ameweka wazi jinsia ya mtoto wake.



Khloe Kardashian anayetoka kimapenzi na mcheza mpira wa kikapu Tristan Thompson, ametajwa jinsi ya mtoto huyo ajaye ni wa kike.Mrembo huyo kutoka familia ya Kardashian, ametoa taarifa za jinsi ya mtoto wake wa kike huyo kupitaia mtandao wa kijamii wa Twitter.



Endapo mungu akimjalia Khole kupata mtoto huyo, basi familia hiyo itakuwa imebarikiwa kuongeza idadi ya watoto wakike mwakam huu kwani tayari tumeona Kim akiwa na mtoto wa kike aitaye Chicago naye Kylie Jenner mtoto wake anaitwa Storm

Chanzo: bongo5.com