Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jina la Harmonize Lafutwa Kwenye Utambulisho wa Mtoto Wake

Harmo Zuu Jina la Harmonize Lafutwa Kwenye Utambulisho wa Mtoto Wake

Mon, 27 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni headlines za mwanamuziki Harmonize ambae leo hii jina lake maarufu kama 'Konde' limeondolewa katika utambulisho wa mtoto wake wa kike #Zulekha aliyekua akifahamika kama #zuu_konde katika mtandao wa Instagram.

Bado haijawekwa wazi ni sababu zipi zilizo pelekea kubadilishwa kwa jina la mtoto huyo na utambulisho wa baba yake , ambapo kwa sasa umebaki utambulisho wa mama yake tu #officialShanteel.

Hivi karibuni zilisambaa video zinazo muonesha mrembo huyo akiwa na aliyekua shemeji wa mwanamuziki #diamondplatnumz na mfanya biashara maarufu @msizwa23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live