Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jike Shupa ataja sifa za mwanaume anayemtaka

Jike Shupa Jike Shupa ataja sifa za mwanaume anayemtaka

Mon, 5 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo muuza sura kwenye kazi za wasanii, Jike Shupa ameweka wazi sifa za mwanaume ambaye anamtaka awe wake.

Jike Shupa amefunguka hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM ambapo pamoja na mambo mengine, alisema mwanaume anayemtaka awe wake ni mweusi.

“Nampenda mwanaume mweusi, mrefu, na kifua fulani hivi cha wastani lakini kisivimbe sana. Sipendi mwanaume asiyekuwa na pesa au mweupe. Wanawake tumekuwa wadangaji tunapesa kuliko wanaume hivyo hata asipokuwa na hela nitamlea,” alisema Jike Shupa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live