Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jike Shupa: Simfahamu baba mtoto, nadanga nipate hela

Jike Shupa Jike Shupa: Simfahamu baba mtoto, nadanga nipate hela

Fri, 2 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Soshalaiti matata Bongo, Jike Shupe ameibuka na mpya baada ya kusema ana mtoto mmoja lakini hamjui baba yake.

Jike Shupa amefunguka hayo alipokuwa akifanya mahojiano hivi karibuni alipokuwa kwenye kipindi cha Lavidavi ambapo pamoja na mambo mengine, alisimulia maisha yake binafsi.

“Mtoto wangu ana umri wa miaka mitatu, naishi naye mwenyewe. Nadanga ili niweze kupata maisha na mwanangu. Simfahamu baba mtoto, simjui na hata sijui yupo wapi,” alisema Jike Shupa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live