Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jide ndiye msanii wa kike Bongo mwenye tuzo nyingi

Jide Ammwagia Maua Yake Rama Dee.jpeg Lady Jaydee

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lady Jaydee msanii wa kike mwenye tuzo nyingi kuliko wote na msanii mkongwe mwenye tuzo nyingi kwa wanaume hizi ni tuzo Alizobeba

Imethibitishwa kuwa mwamuziki LADY JAYDEE ndiye msanii pekee nchini( kwa wasanii wa kike) anayeongoza kumiliki tuzo nyingi zaidi ndani na nje ya nchi.

AWARDS WON-2001 to 2014

2001- M-nets where u @ best female artist in Tanzania

2002- Tanzania music awards-best female artist,best video of the year "machozi"

2003- channel 0 music video awards-best video in east Africa "machozi"

-2003- Tanzania youth achievement award for the Best r n b single "usiuseme moyo"

2004- awarded best r n b album at Tanzania music awards

2005- channel 0 music video awards best collaboration African video "makini "

2005- Chanel 0 video awards- best video in east Africa " distance"

2005- BBC radio awards song of the year "distance"

2006- best female artist from Tanzania at the Uganda pearl of Africa music awards

2007- best female artist from Tanzania from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2008- best female artist from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2009-Kenya kisima music awads- song of the year "Anitha"

2009- Tanzania music awards - song of the year "Anitha"

2010- Best female artist from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2010- Tanzania kil awards- best female artist of the year

2011- best female artist from Tanzania at Uganda pearl of Africa music awards

2011- Tanzania music awards - female artist of the year

2011- Uganda Divas awards - best female artist from Tanzania

2011- Tanzania music Awards - best east African song " Nitafanya with Kidum

2012 - Tanzania kili music awards best female vocalist

2013- Tanzania music awards - female artist of the year

2014- Tanzania music awards - best female Artist of the year

2014 - Tuzo za watu- msanii Wa kike anayependwa zaidi

2014- Best female artist from Tanzania at AFRIMMA awards Itaendelea..

Chanzo: www.tanzaniaweb.live