Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jide ashusha bonge la shoo na mvua kali

Jide Statement Jide ashusha bonge la shoo na mvua kali

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dada mkubwa, Judith Wambura 'Lady Jaydee' usiku wa kuamkia leo Novemba 18, 2023 amefanya bonge shoo katika usiku wake alioupa jina la Statement pale Nyumbani Lounge.

Pamoja na kuwa na mvua kali na eneo kubwa kuwa wazi, mashabiki hawakusita kuimba naye mwanzo mwisho hususan wimbo wa Mambo Matano ambao ndio habari ya mjini kwa sasa.

Mbali na kuimba naye, mashabiki hao 'waliochizika' kwa shoo, walimfuata kwenye jukwaa na kumtunza pesa huku wakiendelea kucheza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live