Menu ›
Burudani
Mon, 22 Apr 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Aliyekuwa mke wa marehemu Gardner G Habash, Judith Wambura almaarufu Lady Jaydee, amesema hana cha kuongea kufuatia kifo cha mtangazaji huyo mkongwe.
Jide na gardiner waliishi kwenye ndoa kwa takribani miaka 15 kabla ya kuvunjika na kupeana talaka.
“Kwanza sijui hata kitu cha kuzungumza nianzie wapi kwa sababu sikuwa nimejipanga wala sikutegemea kama siku ya leo tutafikia hapa tulipo kwa ajili ya kumuaga mpendwa wetu.
“Nishukuru kwa kila mmoja aliyefika kushiriki hapa na tuendelee kumuombea apumzike kwa Amani,” amesema Jide.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live