Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jibu la Aslay; Kati ya Yamoto Band na sasa wapi kuna fedha zaidi? (+video)

Video Archive
Mon, 11 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Bongo, Aslay amesema tofauti kubwa ya kufanya kazi binafsi na kuwa kwenye kundi (Yamoto Band) ni maslai.



Muimbaji huyo amesema kuwa msanii anapokuwa ndani ya bendi fedha inayopatikana inagawanywa kwa wote kitu ambacho ni tofauti na pale msanii anapofanya kazi pekee yake (solo artist).

“Unajua mkiwa bendi mnakuwa wengi sasa nipo pekee yangu kwa hiyo mtonyo (fedha) ninaoupata sasa hivi naupata mimi kama lakini kwenye bendi kama mmepata milioni mnagawana lakini mbili kila mmoja, kwa hiyo tofauti ndio hiyo tu,” Aslay ameiambia Bongo5

Hivi karibu msanii Nandy ambaye amefanya kolabo mbili na muimbaji huyo alisema Aslay ni miongoni mwa wasanii wenye fedha nyingi zaidi Bongo. Hata hivyo Aslay alifafanua hilo kwa kueleza fedha aliyonayo ni kwa ajili ya kubadili mboga tu.



Loading...
Chanzo: bongo5.com