Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jeuri ya fedha! Harmonize kumnunulia mkwewe gari

Jeuri Ya Fedha! Harmonize Kumnunulia Mkwewe Gari Jeuri ya fedha! Harmonize kumnunulia mkwewe gari

Fri, 16 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa watu wanamalizia malizia kushehereke siku ya wapendanao kwa kuwapatia zawadi watu wanaowapenda, Harmonize yeye pia amejipanga kumpa zawadi mama wa mpenzi wake ambaye ni mama Poshy Queen kwa kumpa gari.

Ikiwa watu wanamalizia malizia kushehereke siku ya wapendanao kwa kuwapatia zawadi watu wanaowapenda, Harmonize yeye pia amejipanga kumpa zawadi mama wa mpenzi wake ambaye ni mama Poshy Queen kwa kumpa gari. Mwamba amesema itakuwa ikimsaidia kumpeleka shule mjukuu wake aliyepo na ajae kama yeye na Poshy watajaaliwa kupata mtoto.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live