Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jeniifer Kanumba: Mimi sio bikra, natamani baba mtu mzima!

Jeniffer Kanumba Sgrs Jeniifer Kanumba.

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kujinadi kwenye vyombo mbalimbali vya habari kwamba yeye bado hajakutana kimwili na mwanaume tangu kuzaliwa kwake (Bikira), hatimae Mwigizaji Staa wa Bongo Movie nchini Hanipha Daudi, maarufu kama Jennifer Kanumba ameweka wazi kuwa tayari yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Jennifer pia ameongeza kuwa licha ya kuwa kwenye mahusiano lakini tamanio lake ni kupata mwanaume mtu mzima mwenye familia ya mke na watoto kwani anaweza kumhudumia vizuri zaidi kuliko wanaume vijana ambao damu yao bado ni mchecheto,

Mrembo huyo amesema wababa watu wazima ndiyo habari ya mjini kwa sasa kwa sababu kila mwanamke anatamani kupata jibaba la kulichuna pesa na siyo hawa vijana ambao wanapenda kulelewa badala ya kulea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live