Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Jeffrey Bezos anaingiza Tsh bilioni 19 kwa saa

Jeff Bezos Yuri Milner Are Investing In Anti Aging Company Altos Labs To Help Humans Live Forever.jp Jeffrey Preston Bezos.

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku ya 20 tangu mwaka uanze, tajiri namba mbili duniani, Jeffrey Preston Bezos mpaka sasa amepata ongezeko la utajiri wake kutokea dola Bilioni $107 mpaka kufikia dola Bilioni $117.

Hii inatafsiriwa kuwa, pato lake kwa saa moja ni sawa na dola milioni 7.99 ambayo ni zaidi ya Bilioni 19 kwa pesa ya Tanzania.

Kufikia hapo Jeff anaweza kuchangia kiasi cha dola bilioni 18.4 kwenye bajeti ya taifa na bado akabakiwa na dola bilioni 98.6.

Ongezeko la utajiri wake unatajwa kuchangiwa na hisa anazomiliki kwenye kampuni ya Amazon.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live