Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Je wajua? Idd Amin Dada alikuwa Bingwa wa Ndondi nchini Uganda 1951-60

Idd Amin Bingwa Ngumi Je wajua? Idd Amin Dada alikuwa Bingwa wa Ndondi nchini Uganda 1951-60

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Rais wa tatu wa Uganda, Iddi Amin Dada mwaka 1951 akiwa mwanajeshi wa kawaida chini ya mkoloni wa kiingereza, alikuwa bingwa wa ndondi uzito wa (Light Heavy Weight), taji ambalo alilishikilia hadi mwaka 1960.

Wakati wa maisha yake ya ndondi, hakuwahi kupoteza pambano.

Iddi Amin alifariki mwaka 2003 akiwa uhamishoni nchini Saudi Arabia akiwa na umri wa miaka 74.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live