Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

SIL

Je utavaa 'Cha-cha-cha hizi za Tsh. milioni 1?

Chacha Slipa Je utavaa 'Cha-cha-cha hizi za Tsh. milioni 1?

Fri, 11 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa sasa ulimwengu wa mitindo umepatwa na msismuko kutoka Kampuni ya Gucci mara baada ya moja ya bidhaa yao ya kiatu aina “jelly slippers” maarufu Afrika Mashariki kwa jina la chachacha kuuzwa ghali zaidi nje ya mategemeo ya wengi.

Kiatu hiki cha Gucci kinauzwa dola 490 za Kimarekani, ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 1.1 za kitanzania, na ni kiatu cha miaka ya 90.

Toleo hilo linakuja kwa rangi nyeusi, waridi na zambarau, na limepambwa kwa marembo chapa ya GG.

Kwa mujibu wa Gucci.com, "Tukikumbuka mitindo ya miaka ya '90, viatu hivi vimetengenezwa kwa raba na umaliziaji wa uwazi pia ni kutokana na ‘recalling’.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live