Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Z amehusika nyimbo sita za mkewe Beyonce

Jay Z Na Beyonce Jay Z amehusika nyimbo sita za mkewe Beyonce

Tue, 2 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wiki iliyopita mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Beyonce aliachia albumu yake mpya ya ‘Cowboy Carter’ ambayo imepokelewa kwa ukubwa na mashabiki huku ikitajwa kuwa ndiyo album bora ya mwaka 2024.

Hata hivyo imeripotiwa kuwa nyimbo sita kutoka kwenye albumu hiyo zimeandikwa na mumewe Jay-Z, nyimbo hizo ambazo ni ‘Amerikan Reguiem’, ‘Daughter’, ‘Spaghetii, Levii’s Jeans’, ‘YaYa’ na ‘Sweet’.

Hii itakuwa albamu ya nane kwa #QueenBey ukiwa ni mwendelezo wa albamu ya #Renaissance (Act I) ya mwaka 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live