Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Z akataa Bilioni 7 kwa Show 2

Jay Z With Big Burke Jay Z akataa Bilioni 7 kwa Show 2

Sun, 16 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia The Breakfast Club, Kareem Burke maarufu kama ‘Biggs Burke’ ambaye ni mwanzilishi mwenza wa Roc-A-Fella Records ametuweka wazi kwamba, Jay-Z aliwahi kukataa kiasi cha ($3 million) zaidi ya TSh. Bilioni 7 kufanya maonesho mawili ambapo kila onesho moja alitakiwa kutumbuiza kwa saa moja pekee.

View this post on Instagram

A post shared by Dozen’s Selection (@dozenselection)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live