Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Z, Rihanna watajwa kwenye orodha ya Mabilionea

Jay Z Rihanna 1014x531 Jay Z, Rihanna watajwa kwenye orodha ya Mabilionea

Fri, 7 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Orodha ya Forbes inayojumuisha Watu 2,640 wanaomiliki Utajiri mkubwa Duniani, imemtaja Rapa na Mfanyabiashara JAYZ katika nafasi ya 1,217 akiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 5.8 na Rihanna kwenye nafasi ya 2020 akiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 3.2

Orodha hiyo inaongozwa na Bernard Arnault na Familia yake wakiwa na Utajiri wa Tsh. Trilioni 493.9, akifuatiwa na ElonMusk mwenye utajiri wa Tsh. Trilioni 421.3 na JeffBezos mwenye Trilioni 266.8 KanyeWest ametajwa kupoteza utajiri wa takriban Tsh. Trilioni 2 katika orodha hiyo

Ni Msanii gani wa Tanzania unatamani afanikiwe kufikia viwango hivyo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live