Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Melody atambulisha Track List ya Albamu yake

Jay Melody Album Jay Melody atambulisha Track List ya Albamu yake

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa 'Bongofleva' Jay Melody ametambulisha rasmi muonekano na orodha ya nyimbo zilizopo kwenye albamu yake mpya iitwayo jina la 'Therapy' inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

Msanii wa 'Bongofleva' Jay Melody ametambulisha rasmi muonekano na orodha ya nyimbo zilizopo kwenye albamu yake mpya iitwayo jina la 'Therapy' inayotarajiwa kutoka hivi karibuni. Kwenye orodha hiyo yenye nyimbo 14 pia kuna majina ya wasanii Phina na Benson.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live