Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Melody: Sitengenezi ngoma, natengeneza inspiration kwa Vijana

JayMelody Sugar Video 600x320 Jay Melody

Tue, 9 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuwa na muendelezo mzuri wa kutoa hits song msanii Jay Melody ameonyesha tambo zake kwa kusema kwa sasa hatengenezi tu ngoma anatengeneza inspiration kwa vijana wenzake.

Jay Melody ametumia insta story yake kueleza hayo akiwa studio na producer s2kizzy kwenye maandalizi ya kazi mpya.

“Siku hizi sitengenezi ngoma, Natengeneza Inspiration kwa vijana wenzangu. Sio kwa ubaya lakini”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live