Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Melody: Nimechoka kuambiwa mimi mfupi

Msanii Wa Bongo Flava Jay Melody Ametangaza Kuacha Muziki!.png Jay Melody

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa muziki wa Bongofleva Jay Melody amewatolea uvivu mashabiki wanaomsema kuwa yeye ni mfupi hasa wanapokutana naye sehemu mbalimbali na msanii huyo kutafsiri kitendo hicho kuwa ni masimango.

“Guys, I’m not tall, nimechoka nikikutana na watu eti kumbe ni kadogo hivi. Yes mimi ni kafupi so ieleweke basi maana imekuwa kama masimango sasa” – @realjaymelody kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Mastaa gani wengine ni wafupi hapa Tanzania?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live