Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Melody: ‘Nakupenda’ imeniingizia Tsh mil 200

Jay Melody Nakupenda Jay Melody

Sat, 15 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji Staa wa Bongofleva ambaye kwa sasa anatamba na ngoma mpya za ‘Sawa’ na ‘Na iwe kheri/Ramadhan Kareem’, Jay Melody amefunguka wimbo wake wa ‘Nakupenda’ ambao ulishika namba moja kwenye chati zote, umemuingizia zaidi ya Tsh milioni 200.

Katika mahojiano hayo maalum na chombo kimoja cha habari, jay Melody amesema kwamba kwa mwezi Januari pekee wimbo huo umemuingizia kama Tsh milioni 40.

Aidha, Jay amezungumzia maisha yake kabla ya kuwa Staa, alivyohusika kuchezesha magumashi kwenye biashara ya kuuza nguo, wasanii ambao wamewahi kumlipa kwa wakati pale anapowaandikia nyimbo, kumpost Paula kulivyomletea balaa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live