Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Dee: Uzee niliuacha Shinyanga, Dar naitwa Baby

Lady Jay Dee Mwanamuziki mkongwe nchini Lady Jaydee

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki mkongwe nchini Lady Jaydee anayezidi kutamba na kibao chake cha ‘Mambo matano’, katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video na kuandika ujumbe akisema uzee aliuacha Shinyanga huku mjini anaitwa baby, huku akiwataka watu wafanye diet ili waache kumtusi.

Mwanamuziki mkongwe nchini Lady Jaydee anayezidi kutamba na kibao chake cha ‘Mambo matano’, katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video na kuandika ujumbe akisema uzee aliuacha Shinyanga huku mjini anaitwa baby, huku akiwataka watu wafanye diet ili waache kumtusi. Jaydee ameandika, “basi jeraaaaaas zitaacha ku-enjoy weekend na kuanza kuniita mzee, uzee niliuacha Shinyanga, hapa Dar naitwa Beibee fanyeni diet ili muache kunitusi”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live