Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jay Dee: Sijawahi kumuonea wivu rafiki

Jide Jaydee Jay Dee: Sijawahi kumuonea wivu rafiki

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii nyota wa bongoflava, Judith Wambura ambaye anatamba na ngoma kali mbalimbali amesema hajawahi kumuonea wivu rafiki yake pindi akifanikiwa.

Jide amesema huwa anashangilia pindi rafiki yake akifanikiwa hadi sauti anatamani ikauke. Pia msanii huyo amewakaribisha marafiki zake katika usiku wake alioupa jina la Statement huku viingilio vikiwa Sh50,000 Sh250,000 na Sh500,000.

Msanii huyo karibuni alizua gumzo alipomletea zawadi mtalaka wake Gardner Habash ambaye kwasasa amekuwa rafiki yake

Chanzo: www.tanzaniaweb.live