Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jarida la Vanity Fair lashambuliwa kwa kumuonesha Oprah akiwa na mikono mitatu

2114 DUZmIJ0WsAAMHi0 TZW

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Jarida maarufu la mitindo nchini Marekani la Vanity Fair limeshambuliwa vikali na wapenzi wa mitindo duniani baada ya kuchapisha picha ya juu ya jarida hilo likimuonesha mwanamama Oprah Winfrey akiwa na mikono mitatu.

View image on Twitter

Jarida hilo ambalo linatoka mara moja kwa mwaka halikukosea kwa mtu mmoja kwani picha nyingine ya Muigizaji Reese Witherspoon ambaye na yeye ameonekana na miguu mitatu kwenye picha hiyo ya mbele.

 

Baada ya cover hilo lililokosewa kuchapishwa mtandaoni usiku wa kuamkia leo mashabiki wamelishambulia wakidai kuwa kwanini waandaaji hawakutumia picha za asili bila kuzihariri (Editing).

Chanzo: bongo5.com