Wakati watu wengi wakilalamika kuhusu mwezi January na kudai ya kwamba ni mgumu kutokana na majukumu mengi ya mwezi huu, sasa Aunty Ezekiel amezungumza kuhusu mwezi January yeye amesema alikuwa haamini kama January ni ngumu lakini saivi amekubali kuwa mwezi mgumu.
Aunty Ezekiel amesema kwamba yeye hajawahi kukopa kodi ya nyumba wala kitu cha msingi kwenye maisha na ndo mana huwaga anapanga bajeti mapema ya vitu muhimu kama kodi ya nyumba, Ada ya mtoto wake na kitu alichowahi kukopa ni nguo.
Msikilize akielezea kwa kubonyeza PLAY hapa chini..
Alichoongea Joketi kwenye mazishi ya mama mzazi wa Johari