Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Janjaro kufunga ndoa hivi karibuni

Janjaro One K Janjaro kufunga ndoa hivi karibuni

Fri, 26 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa maarufu Bongo mwenye mwili mdogo lakini mambo makubwa, huyu si mwingine ni Dogo Janja ama Janjari amefunguka na kuweka wazi kuwa anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake Quenlinnatoto.

Janjaro amesema hayo katika moja ya mahojiano yake na chombo cha habari na kusema kuwa; “Tunasema Mungu akijalia kwasababu kila kitu tunakiombea heri.

“Mipango ipo mimi sio kijana muhuni ni kijana mwenye hofu ya mungu kwahiyo nadhani ni kitu ambacho kipo hapa usoni kinakaribia make mkao wa kula,” amesema Dogo Janja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live