Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jana Smith adamant binti yake apate mahusiano kama yake

Jada And Her Daughter Jana Smith adamant binti yake apate mahusiano kama yake

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji na mwandishi Jada Smith ameweka wazi kuwa anatamani binti yake Willow Smith apate mahusiano yanayofanana na yake.

#Jada ameyasema hayo wakati alipokuwa katika mahojiano na podcast ya #PrettSmart ambapo amedai kuwa binti yake kuwa na mahusiano kama yake itamjenga kuwa mwanamke halisi kama alivyo yeye sasa, lakini haimaanishi avumilie mambo yasiyofaa.

Ikumbukwe kuwa mwishoni mwa mwaka jana #Jada aliweka wazi kuwa ametengena na mumewe muigizaji #WillSimth takribani miaka 7 iliyopita lakini wanaendelea kuishi pamoja kutokana na upendo walionao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live