Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jamie Foxx bado amelazwa hospitali

Jamie Foxx Bado Amelazwa Hospitali Jamie Foxx bado amelazwa hospitali

Thu, 4 May 2023 Chanzo: Wasafi

Muigizaji Kutoka Marekani JamieFoxx Ameripotiwa Kwamba Bado Amelazwa Hospitali Huko Mjini Georgia. Vyanzo Vya Karibu Na Jamie Vimesema Kwamba Anahitaji Maombi

Kwa Mujibu Wa TMZ, Jamie Amelazwa Kwa Zaidi Ya Wiki 3 Sasa Akiwa Hospitali Iliyopo Mjini Georgia.

Kumbuka Kwamba April 12 mwaka huu binti yake Alitoa Taarifa kuhusu Hali Ya Kiafya ya Foxx lakini hakutuweka wazi ni nini kinamsumbua Muigizaji Huyo Ambaye Pia Ni Mshindi Wa Tuzo Ya Oscar Lakini Alitaja Tu Kuwa Ni "Medical Complication".

Chanzo: Wasafi